Bado hawajaita kiongozi wakiita majina utayaona kwny web yao na hata magazetini wanatoa hawa sio kama PPF wala NSSF ambao wanatuma sms (informations from reliable sources) tuendelee kuomba mungu
Nipo kiongozi sijapata updates zozote ila hawa jamaa PPF hata siwaelewi interview ile unasahihisha week2 dah yan hatari na mtaani huku hali ishakuwa mbaya sana coz batch jingine la graduates lina ingia kuanzia mwezi wa 8! Vichwa vinauma kiongozi
Hiki kichwa cha habari umeandika kama vile unatoa taarifa ya kuitwa kwenye interview kumabe unauliza swali, Mweh..........Kweli hali huku mtaani ni mbaya Mungu tusaidie.
asikuzingue huyo,LAPF makao makuu ni dodoma mtendeni street,hawajatoa bado ila sasahivi ndo wako wanapanga short list,waliioomba walikuwa ni wengi,bahasha za maombi zilikuwa takribani boksi12,....(from reliable source)