Laptop inahitajika haraka.Yenye specifications zozote Ila iwe na HDD 300gb na kuendelea.
Ofa yangu ni shilingi 400,000.
Ninayo HP mpya HDD300,NI KAMA HIYO HAPO CHINI KTK PICHA, BEI 400,000/=LAKI NNE(HAIPUNGUI) TUWASILIANE 0752490238.
mkuu ninayo dell yenye hdd 160 kwa 350,000 tu
Ninayo HP mpya HDD300,NI KAMA HIYO HAPO CHINI KTK PICHA, BEI 400,000/=LAKI NNE(HAIPUNGUI) TUWASILIANE 0752490238.
nina hp g60, 4gb ram, 500gb hdd
nina hp g60, 4gb ram, 500gb hdd
mienzi 6umeitumia mda gani?
mienzi 6
nichek kw 0719373606...Nakuletea popote ulipo sasa hivi.....
.....mkuu tatizo hujibu swali.
Utailetaje sasa kma ahujajibu swali?
.....
poa laki nne na nusu