Land rovers never die

napenda sana mando asee tena kule kwetu longido
 
You can't bury a Landrover (aespecially model 109)
 
kuna ile ssehem karibu na oysterbay nao huwa wanafanya recycling

au ile ni aina gari ya magari
 
109 ina roho ngumu vibaya mno.

Inaweza kila kitu kikatoweka ikabaki engine pekee na bado ikatembea.
 
hiyo kitu ni roho ya paka kweli zile za zamani utaikuta imepakia mzigo na wala haitetereki
 
Nakumbuka Mbulu-Karatu
Mang'ola-Karatu
Endabash-Karatu
Achana na "mandolin" bhana
 
Nakumbuka Mbulu-Karatu
Mang'ola-Karatu
Endabash-Karatu
Achana na "mandolin" bhana
usiku tushawahi kukaa siti moja,maana hiyo route nimeitumia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…