LAND ROVER JAGUAR F-PACE

LAND ROVER JAGUAR F-PACE

Johnson json

Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
37
Reaction score
52
Wataalamu wenye uwelewa wa hii gari kwenye oil consumption...na spares zakee je ni affordable...natanguliza shukran
 

Attachments

  • 1745079159094.jpg
    1745079159094.jpg
    720.6 KB · Views: 26
Hiyo gari nyingi ni za diesel kama ulikua unamaanisha ulaji wa diesel ni kawaida maana nyingi ni 2.2 engine capacity hiyo ndio nayotumia kwenye kazi zangu SA parts zake nanunua Land rover niliyonayo ni ya 2016 TRA kodi wanata Tsh 33 milion kama ntataka kuileta Kuja kutumia Tanzania..
 
Back
Top Bottom