Redbutterfly Member Jan 4, 2012 10 2 Oct 6, 2012 #1 Land for sale in Mbeya City Land: 27 Acres* (with Title) Price: 300 Million Tanzanian Shillings 2.5 km from Tanzania Zambia Highway. Area: Ilomba Call 0756 888 330/0754 277084 for more information...
Land for sale in Mbeya City Land: 27 Acres* (with Title) Price: 300 Million Tanzanian Shillings 2.5 km from Tanzania Zambia Highway. Area: Ilomba Call 0756 888 330/0754 277084 for more information...
Ngambo Ngali JF-Expert Member Apr 17, 2009 3,517 1,360 Oct 6, 2012 #2 300, 000, 000/= for 27 Acres.? 11, 000, 000/= per acre ?????? Godsave the president
fugees JF-Expert Member Aug 13, 2012 2,868 882 Oct 6, 2012 #3 Htpati mteja hapa dada yan eka moja sawa sawa na....? ha ha ha ha ha hata mtalii hawezi ku... yaani utafikiri unauza vitaru vya kuwinda wanyama khaka. ngoja nikatafute maeneo ya tukuyutukuyu.
Htpati mteja hapa dada yan eka moja sawa sawa na....? ha ha ha ha ha hata mtalii hawezi ku... yaani utafikiri unauza vitaru vya kuwinda wanyama khaka. ngoja nikatafute maeneo ya tukuyutukuyu.
Asprin JF-Expert Member Mar 8, 2008 68,012 95,358 Oct 6, 2012 #5 King'asti said: What is so special na hiyo land? Click to expand... Inafaa kujengwa kanisa tumtumikie Bwana. Kama wewe ni mmataifa, bar na guest house vitakurudishia hela zako ndani ya mwaka mmoja. Karibu mteja.
King'asti said: What is so special na hiyo land? Click to expand... Inafaa kujengwa kanisa tumtumikie Bwana. Kama wewe ni mmataifa, bar na guest house vitakurudishia hela zako ndani ya mwaka mmoja. Karibu mteja.
georgei Senior Member Oct 14, 2009 110 8 Oct 6, 2012 #6 Asprin said: Inafaa kujengwa kanisa tumtumikie Bwana. Kama wewe ni mmataifa, bar na guest house vitakurudishia hela zako ndani ya mwaka mmoja. Karibu mteja. Click to expand... Jenga mwenyewe baada ya mwaka mmoja utapata hiyo hela unayoitaka saiz kwa kuuza mali
Asprin said: Inafaa kujengwa kanisa tumtumikie Bwana. Kama wewe ni mmataifa, bar na guest house vitakurudishia hela zako ndani ya mwaka mmoja. Karibu mteja. Click to expand... Jenga mwenyewe baada ya mwaka mmoja utapata hiyo hela unayoitaka saiz kwa kuuza mali
M-bongotz JF-Expert Member Jan 7, 2010 1,734 405 Oct 6, 2012 #7 Asprin said: Inafaa kujengwa kanisa tumtumikie Bwana. Kama wewe ni mmataifa, bar na guest house vitakurudishia hela zako ndani ya mwaka mmoja. Karibu mteja. Click to expand... Bat na Guest kwenye heka 27?
Asprin said: Inafaa kujengwa kanisa tumtumikie Bwana. Kama wewe ni mmataifa, bar na guest house vitakurudishia hela zako ndani ya mwaka mmoja. Karibu mteja. Click to expand... Bat na Guest kwenye heka 27?