Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Ipo hivi
Land cruser ya mwaka 1992
Ipo na hali nzuri bei ml 20
Mkuu mara ya mwisho umeingiza gari lini toka JP?Si kama nakukatisha tamaa ila kwa bei ya soko ilivyo kuuza m20 hutaweza, cause gari ya aina hiyo hata ukiagiza japan gharama zote mpaka kuitoa bandarini bado haifiki hiyo 20
watajie wanunuzi bei muafaka pia weka picha nyingi mbalimbali mpaka za ndani
Ni auto au manual?
Mkuu me ninayo land cruiser V8 Lexusautomatic,ya 2001 black colour,waweza nicheck thru 0659604089,nipo Dar
Si kama nakukatisha tamaa ila kwa bei ya soko ilivyo kuuza m20 hutaweza, cause gari ya aina hiyo hata ukiagiza japan gharama zote mpaka kuitoa bandarini bado haifiki hiyo 20
watajie wanunuzi bei muafaka pia weka picha nyingi mbalimbali mpaka za ndani
Mkuu mara ya mwisho umeingiza gari lini toka JP?