kwa nn unaliuza wakati lina siku 1 tu hapa bongo?
kiwanja tu sina, 27 m ntapata wapi? Nakuombea dua upate mteja haraka na wa bei iliyonona
kiwanja tu sina, 27 m ntapata wapi? Nakuombea dua upate mteja haraka na wa bei iliyonona
Mijitu mijizi sana 27m wakati wewe hiyo gari mpaka unaitoa haijazidi 17m
Mheshimiwa,Hahaha,
Sasa nimejua ni wivu unakusumbua. Yaani unaona tabu sana mtu anapost anauza gari wakat wewe hata baiskeli huna. Watu kama nyinyi ni wa kuwa-ignore tu.
Kwanza kwa JF yenye members 96,000 sishangai kupatikana mtu wa tabia yako.
Ushauri wangu wa bure,
Kama hali yako kifedha haikuruhusu kua na hiyo baiskeli basi usijenge bifu na wenye nacho, jenga bifu na akili yako, kisha Serikali yako
Mheshimiwa,
Utakuta huyo ndo haswaa propective buyer wa hiyo gari.
Usimmwagie povu hivo.
Kumbuka jinsi ya kuhandle customers.
Amini usiamini, wanaothubutu kufungua thread yako ndio wanaoweza kuwa wanunuzi!
PJ,Mheshimiwa,
Utakuta huyo ndo haswaa propective buyer wa hiyo gari.
Usimmwagie povu hivo.
Kumbuka jinsi ya kuhandle customers.
Amini usiamini, wanaothubutu kufungua thread yako ndio wanaoweza kuwa wanunuzi!
Gari imekuja kwa ajili ya kuuza, nahusika na Biashara za Kuuza magari mkuu Mabreka
Kodi/Cost zote zimejumuishwa.
Ndugu,
Hiyo bei tajwa ni pamoja na kodi zote ama bila kodi?
Ila gari inavutia lakini kahela karefu
mimi najipanga kwanzaKaka bei inazungumzika,
Nipe ofa yako kwa kwa hapahapa, PM, au SMS.
Please ukini-sms naomba unitajie kwamba ni ya Prado ili nijue!!