Land cruiser Prado for sale

Land cruiser Prado for sale

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
808
Nauza gari yangu aina ya land cruiser prado kama inavyoonekana pichani bei ni 17 million haina tatizo lolote na mwenye kutaka kuiona awasiliane nami kwa namba 0767234224 IMG_0247.JPG IMG_0248.JPG IMG_0249.JPG
 

Attachments

  • IMG_0244.JPG
    IMG_0244.JPG
    276.2 KB · Views: 90
  • IMG_0245.JPG
    IMG_0245.JPG
    202.8 KB · Views: 83
model ya mwaka gani?
Imesajiliwa?
Je ni manual au automatic?
Imetembea kilometa ngapi?
Tungependa kujua
 
Mbona kama DFP?
Imelipiwa ushuru kweli?
Sio DFP mkuu hizo ni namba za kukodi za Zanzibar,nilikuwa nakodisha watalii mtu niliyemweka asimamie hiyo biashara alikuwa ananiletea mahesabu ya utata nikaona bora niiuze tu.
 
model ya mwaka gani?
Imesajiliwa?
Je ni manual au automatic?
Imetembea kilometa ngapi?
Tungependa kujua
Hiyo ni model ya mwaka 1995 ni automatic na imesajiliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom