Land Cruiser BJ60 inauzwa

Land Cruiser BJ60 inauzwa

Duly zura

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
411
Reaction score
37
Wakuu kuna landcruiser bj60 hii hapa chini iko katika hali nzuri sanaa zaid ya sana:-
Engine-3f
Colour-Black metallic
Odometer-95,000 km
Steering - LHS
4WD
year-1990
BEI: 10Mil
+255714478797
 

Attachments

  • Abd1.jpg
    Abd1.jpg
    318.9 KB · Views: 273
  • Abd2.jpg
    Abd2.jpg
    278.3 KB · Views: 227
Mh,mkuu unaposema ipo kwenye hali nzur tena zaidi ya sana una maana gani ukizingatia hiyo picha?
 
Hata hiyo 100,000 bado ipo chini huo mgari ni wa zamani sana hata Engine yake imepitwa na wakati ingekuwa 1HZ labda ungenishawishi.Engine 3F zilitumika kwenye DCM niambie leo DCM zipo ngapi barabarani.

Usitudanganye, hiyo haiwezi kuwa chini ya 100,000km.
 
wakuu hiyo gari ilinnuliwa mwaka 2012 ikiwa na 65,000 km ikatumika kuendea ngorongoro kama mara 3 hivi Then baadae ikawa inatumika kwa root za shamban apa apa twn lkn na imesafiri mara moja frm Arusha to Kondoa,hizo ndo root nakumbuka ilizopiga,Kuna jamaa kaja kuitest juz kaenda nayo mpaka manyara akarud nayo sema tukashndwana kdg kwenye bei ila gar ipo sawa na engine ndo uspime
 
Daaah mkuu hilo ni toleo la mwaka 1984 sasa ina maana hadi leo itakuwa imetembea km ngapi?


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom