Vipi tena, siyo Al Shabab?
Haijabainika 100% ni nani, ndizo sababu za chunguzi za polisi.
Kenyatta alisema si Al Shabab ni mauwaji ya kisiasa. Wauwane wenyewe kwa wenyewe wasingizie Wasomali.
Na ile ya Wajir?
Na bado, hazidishiwi mwenye kudhulumu ila hasara.
Alshabaab wanasaidiwa na sympathizers wao Kenya. Kama jinsi wakianza shughuli Tanzania wewe tunavyokufahamu utakua wa kwanza kuwapa makao.
UDM led by Musalia Mudavadi, who came 3rd in the presidential race.hbuyosh,
i would like to know the coalition side that won him the governorship for lamu.was it cord/jubelee?.
I doubt they would just arrest him without concrete reasons. Lazima kuna jamaa wamefinywa proper na kumtaja.
Mambo ya ardhi na wivu za kibiashara ndo zilicause hizi mambo zote. Sioni kama ni siasa za CORD na JUBILEE.
Ni UKABILA!
spot on man!
atleast now we've a kenyan in kenya sub forums who feels unashamed to point out real issues that destabilizes kenya.indeed one of it is "UKABILA".
asante sana mkuu.
flag waver wannabe like lawmaina78 cant do that.
UDM led by Musalia Mudavadi, who came 3rd in the presidential race.
Alshabaab wanasaidiwa na sympathizers wao Kenya. Kama jinsi wakianza shughuli Tanzania wewe tunavyokufahamu utakua wa kwanza kuwapa makao.