Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,234
- 40,238
Dingi ni team madrid.. hata kabla hajampeleka dogo la masia alimpeleka madrid wakamtema.. ikabid tu ampeleke La masia...Huyu dogo wakati anawika nakumbuka team Messi walikuja na propaganda zao na vipicha vya old-school vinavyoonesha Messi anamuogesha dogo.
Team Messi wakatafsiri kitendo hicho cha Messi kumuogesha dogo ni kumpa baraka ambazo natunda yake ndio yamekuja kuonekana kipindi hiki.
Sasa kumbe hii ikamfikia hadi dingi yake na dogo.
Dingi akasema inawezekana Messi ndio aliyepewa baraka na mwanangu siku ile kwasababu baada ya hapo ndio Messi akaanza kushinda balΓ³n d'or
Nakumbuka ilo sakata πππ. Wazazi wa dogo wanampambania sana mtoto waoHuyu dogo wakati anawika nakumbuka team Messi walikuja na propaganda zao na vipicha vya old-school vinavyoonesha Messi anamuogesha dogo.
Team Messi wakatafsiri kitendo hicho cha Messi kumuogesha dogo ni kumpa baraka ambazo natunda yake ndio yamekuja kuonekana kipindi hiki.
Sasa kumbe hii ikamfikia hadi dingi yake na dogo.
Dingi akasema inawezekana Messi ndio aliyepewa baraka na mwanangu siku ile kwasababu baada ya hapo ndio Messi akaanza kushinda balΓ³n d'or
Madrid wanataka wachezaji waliojipata tu, sio wazuri kwenye kumtengeneza mchezaji tangu akiwa mdogo maana hawana falsafa ya mpira.Dingi ni team madrid.. hata kabla hajampeleka dogo la masia alimpeleka madrid wakamtema.. ikabid tu ampeleke La masia...
Tufanye Yote kheri, baraka za yamal now Messi Ni GOATHuyu dogo wakati anawika nakumbuka team Messi walikuja na propaganda zao na vipicha vya old-school vinavyoonesha Messi anamuogesha dogo.
Team Messi wakatafsiri kitendo hicho cha Messi kumuogesha dogo ni kumpa baraka ambazo natunda yake ndio yamekuja kuonekana kipindi hiki.
Sasa kumbe hii ikamfikia hadi dingi yake na dogo.
Dingi akasema inawezekana Messi ndio aliyepewa baraka na mwanangu siku ile kwasababu baada ya hapo ndio Messi akaanza kushinda balΓ³n d'or
Dingi ameleta uteam madrid wake tuu kwenye hili sakataMadrid wanataka wachezaji waliojipata tu, sio wazuri kwenye kumtengeneza mchezaji tangu akiwa mdogo maana hawana falsafa ya mpira.
Ulaya na marekani sheria inaruhusu kujihusisha na mapenzi mtu akiwa bado mdogo halafu mfumo wa maisha kule watu wanajipata mapema sio ajabu kukutana dogo wa miaka 18 tu ashajipata. Justin Bieber alianza mahusiano na yule demu wake wa zamani akiwa around age iyo iyo kama LamineMtoto mdogo sana miaka 16 tayari alikuwa na muhusiano yashangaza makuzi ya nje yalivyo.
Ulaya ni mambo ya kawaida na hawafichi. Siyo kama sisi unakuta unafiki mwingi. BTW huyo mchezaji bado ana safari ndefu mno kwa sababu ni wachezaji wengi walianza kutamba kwenye umri mdogo lakini walipofikisha miaka 22 wakapotea kabisa. Kuna yule Ansu Fati alitamba sana lakini sasa amekuwa wa kawaida.Mtoto mdogo sana miaka 16 tayari alikuwa na muhusiano yashangaza makuzi ya nje yalivyo.
Story za vijiwe vya kahawa hizoDingi ameleta uteam madrid wake tuu kwenye hili sakata
Ansu fati ilikua hype tu ila lamine ball analipigaUlaya ni mambo ya kawaida na hawafichi. Siyo kama sisi unakuta unafiki mwingi. BTW huyo mchezaji bado ana safari ndefu mno kwa sababu ni wachezaji wengi walianza kutamba kwenye umri mdogo lakini walipofikisha miaka 22 wakapotea kabisa. Kuna yule Ansu Fati alitamba sana lakini sasa amekuwa wa kawaida.
ππππππTazama hapa chini sasa uone Watoto ni malaika
Ana kipaji cha kumzidi messi?Ansu fati ilikua hype tu ila lamine ball analipiga
Ndio inavyo takiwa iweMtoto mdogo sana miaka 16 tayari alikuwa na muhusiano yashangaza makuzi ya nje yalivyo.
Bado dogo ana safari ndefu sana kuwekwa kwenye level ya Messi ila ukimlinganisha na Messi wakati ana umri km wa lamine, lamine ana hatari zaidi uwanjani kwa sababu anacheza mpira wa kuleta matokeo tofauti na messi alikua anacheza mpira wa kitotoAna kipaji cha kumzidi messi?
Spain wakiambiwa sahv kwenye kikosi wamchukue messi au lamine watamchukua messiAna kipaji cha kumzidi messi?