NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
Tayari ushapigwa tukio.mapenzi bhana.kizunguzungu.Pamoja na kwamba tuliufunga mwaka vizuri na wimbo wa taifa Muziki ya darasa, naona huu wimbo wa mkongwe Ditto kama ndo tunafungua nao mwaka maana naona sehemu mbalimbali za burudani ukipigwa tu beat lake mwanzoni amsha amsha zinaanza! Mimi naupiga mara kumi kumi.
Hongera sana mkuu Ditto kwakweli wimbo umetulia na video ni kali bila kumsahau huyo bi dada video queen msambwanda wake hatariiii na classic sio kama wa mama supu ..
Hii video inasifa ya kutufungulia mwaka?
Yaani alonimaliza huyo video qeen[emoji8]Video queen ametulia sana!location km ile ya nataka kiki ya ray.
Alafu mbona km unafanana naye?[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yaani alonimaliza huyo video qeen[emoji8]
Aaa wapiAlafu mbona km unafanana naye?[emoji1] [emoji1] [emoji1]