Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,423
- 1,252
Huyu laizer uwezo wake ni mdogo mdogo sana, beat zake zinafanana, hivi laizer anaweza tengeneza beat kama ya pana au diana, kiukweli huyu producer amenichosha na anapoelekea ataua WCB.
Diamond kafanye ngoma na kina t touch, majani, nahreal , yule aliyetengeneza over boy, etc, au nenda hata nigeria huyo mshamba laizer mwache awatengenezee beat maandagroung kina queen darlin na rayvan na huyo mugacherere cjui q boy.
Pia rayvanny habadiliki staili yakeya kuimba ni moja, bora hata ya harmonize mara mia, cheki kwetu, natafuta kiki, kijusho, mugachere utasema ni nyimbo moja, kwenye salome ndo umejitahidi kubadilika.
Laizer uondoke WCB hatukutaki, au tutakupangia kazi ingine,