Laiti kama ungejua gerezani kulivyo, usingejaribu kuwa mkosaji

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Sijajua watu wanaovunja sheria mtaani , kuiba , kubaka , kukaba watu , kutukana viongozi na makosa mengineyo kama wanajua maisha ya gerezani yalivyo na mateso na msoto mkubwa sana mwanzo mwisho.

Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu. From nowhere mtu anaamua kuvunja sheria tu halafu anakuwa kauzu.

Unajua gerezani kulivyo wewe? Usingethubutu.

Angalia mtu kama Godbless Lema , Joseph Mbilinyi walivyobadilika sasa hivi baada ya kukaa ndani kwa siku chache tu.


Gerezani pasikie tu jamani.

Usifanye kosa , usijifanye mjuaje na usitake kugombana na mtu kabisa. Utapotea !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, kwani umeshindwa nini kueleza yaliyoko huko gerezani hata kwa uchache?
 
Acha kutuseti hakuna mfungwa mwenye uwezo wa kumfanyia kazi mfungwa mwenzake.
.
Iwe kazi za ndani ya gereza au nje nasisitiza HAIWEZEKANI NA HAIPO TANZANIA eleza ni gereza la wapi hilo
 
Huyo unayemsema kabadilika ( sugu)
Kabadilikaje? Mbona juzi Tena kaingia matatani kwa kukosoa vitambulisho vya machinga vitolevyo na rais MAGUFULI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…