Laiti kama ungejua gerezani kulivyo, usingejaribu kuwa mkosaji

Kuna mahali nimesema kumfanyia kazi mfungwa mwingine???punguza mwendo mbele kuna bamsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma hapa 👇 na muda mwingine uache kuona kila mtu ni mpuuzi
"Chakula changu ale huyo na kazi zake ntafanya mimi" haya ndiyo maneno yako na hakuna mfungwa wa tanzania anaeweza kumnenea nyampara (CL) yeyote maneno hayo wala askari.
 
Kuna mahali nimesema kumfanyia kazi mfungwa mwingine???punguza mwendo mbele kuna bamsi

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa ili tumalize ubishi kuwa ulisema au hukusema soma chini alafu uniambie nikuite jina gani
Kaka acha nilikaa miezi 7 huko , nimeona mengi mabaya in short kuna vipigo , na ukiwa mgeni afu laini laini umetoka kuendesh vi brevis hata makalio hayajakaza utasikia oya chakula changu ale huyo na kazi zake ntafanya Mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijajua watu wanaovunja sheria mtaani , kuiba , kubaka , kukaba watu , kutukana viongozi na makosa mengineyo kama wanajua maisha ya gerezani yalivyo na mateso na msoto mkubwa sana mwanzo mwisho.

Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu. From nowhere mtu anaamua kuvunja sheria tu halafu anakuwa kauzu.

Unajua gerezani kulivyo wewe? Usingethubutu.

Angalia mtu kama Godbless Lema , Joseph Mbilinyi walivyobadilika sasa hivi baada ya kukaa ndani kwa siku chache tu.

Gerezani pasikie tu jamani.

Usifanye kosa , usijifanye mjuaje na usitake kugombana na mtu kabisa. Utapotea !

Sent using Jamii Forums mobile app
Usitishe watu as if hawajawahi kwenda. Ni muda mfupi nimewah kuonja huko. Inategemeana na ww mwenyewe ukoje na kesi yako ina uzito gani.
Sio kweli eti all the time ni mateso

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Narudia kusema, wabongo wengi tuna msongo wa mawazo, na ushahidi ni hili la mtu akikereka kidogo tu ni kuandika matusi tena mengi tu. Au ni kweli lami imetatuka? Siku hizi hatusemi vyuma vimebana, tumeacha.
 
Mheshimiwa Mbowe amefanya kosa gani?
Mheshimiwa Lijualikali je?
Mheshimiwa Matko nae
Mheshimiwa Sugu walimfunga kwa kosa gani?
Sio lazima ufanye kosa ndio uingie lupango
 
Kaka acha nilikaa miezi 7 huko , nimeona mengi mabaya in short kuna vipigo , na ukiwa mgeni afu laini laini umetoka kuendesh vi brevis hata makalio hayajakaza utasikia oya chakula changu ale huyo na kazi zake ntafanya Mimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Stori za vijiweni hizo jela ukibainika unataka kumla jicho mwenzio against his willing adhabu take utajuta kuzaliwa
 
Kanijibu mkuu anasema hakuna mahala kasema kuna mfungwa anaweza kumfanyia kazi mwenzake namtafakari sana simmalizi sijui ni mjinga sijui haoni alichokiandika sielewi
stories zake za vijiweni. watu hawajui tu hakuna kosa kubwa gerezani km kujaribu kumla jicho mwenzio ukibainika utapata tabu sana labda m2 aamue kukutunuku mwenyew kwa hiyari yake
 
Leo leo nimetoka lockup,inakela mtu umelala zako kila dakika mnakunja kuamshwa kuhesabu number..
Hivi Kule mahabusu na gerezani kuna magodoro?maana lockup tunalala chini kwenye sakafu
 
Angalia mtu kama Godbless Lema , Joseph Mbilinyi walivyobadilika sasa hivi baada ya kukaa ndani kwa siku chache tu.
Hata Nyerere ilibidi aende gerezani ili babu au baba yako,, au bibi au mama yako, asiendelee kufanyiwa kitu mbaya na wazungu. Acha mawazo ya kitumwa, jikomboe kifikra.

KIna Mandela, Mugabe nk walifanya hivyo hivyo,
 
Sijajua watu wanaovunja sheria mtaani , kuiba , kubaka , kukaba watu , kutukana viongozi na makosa mengineyo kama wanajua maisha ya gerezani yalivyo na mateso na msoto mkubwa sana mwanzo mwisho.

Huwa nawashangaa sana baadhi ya watu. From nowhere mtu anaamua kuvunja sheria tu halafu anakuwa kauzu.

Unajua gerezani kulivyo wewe? Usingethubutu.

Angalia mtu kama Godbless Lema , Joseph Mbilinyi walivyobadilika sasa hivi baada ya kukaa ndani kwa siku chache tu.

Gerezani pasikie tu jamani.

Usifanye kosa , usijifanye mjuaje na usitake kugombana na mtu kabisa. Utapotea !

Sent using Jamii Forums mobile app
kam uliweza kukaa tumbon kwa bi mkubwa wako miezi 9, cdhani kama utashindwa vtu vdogo hivo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom