LAINI ZA UWAKALA WA TIGOPESA

LAINI ZA UWAKALA WA TIGOPESA

nikihitaji kufanya nayo kazi mkoani haitowezekan?
 
Inabidi uende kwenye mkoa husika ndio uchukue laini huko. Maana masharti ni pamoja na kuhudumiwa na wakala wako,sasa ukiwa mkoa mwingine wakala wako hatoweza kukuhudumia
 
Inachukua muda gani kupata line ya tigopesa? Taratibu hizi zinafanyika ofisi gani ya tigo hapa dar?
 
Laini zinapatikana siku zote na muda wote kwenye ofisi za mawakala wakuu.
Kwa Dar es salaam laini zinapatikana kila Wilaya kwa mawakala wakuu wa eneo ulilopo.
Niambie upo dar sehemu gan(unataka kufanyia biashara sehemu gani) ili nikuelekeze wakala mkuu wa eneo ulilopo ili upate msaada.

kwa maelekezo zaidi karibu PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wenzio waliosomea masuala ya masoko huwa wanaweka namba zao kwenye matangazo yao.
 
Laini zinapatikana siku zote na muda wote kwenye ofisi za mawakala wakuu.
Kwa Dar es salaam laini zinapatikana kila Wilaya kwa mawakala wakuu wa eneo ulilopo.
Niambie upo dar sehemu gan(unataka kufanyia biashara sehemu gani) ili nikuelekeze wakala mkuu wa eneo ulilopo ili upate msaada.

kwa maelekezo zaidi karibu PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo kigamboni mkuu..
 
Back
Top Bottom