namba moja tuu
Senior Member
- May 4, 2017
- 162
- 142
Achana na hiyo kitu nunua machine ya Sellcom yani utafurahii hiyo Huduma ,kwa sababu kupitia hii mashine utatoa Huduma zaidi ya miamala ya kifedha.habari zenu wakuu
natafuta laini za uwakala naombeni kujua
bei zake
mahali zinapopatikana
natanguliza shukrani
Gharama ya hii sh ngapi mkuuAchana na hiyo kitu nunua machine ya Sellcom yani utafurahii hiyo Huduma ,kwa sababu kupitia hii mashine utatoa Huduma zaidi ya miamala ya kifedha.
...Inauzwaje hiyo mashine?Achana na hiyo kitu nunua machine ya Sellcom yani utafurahii hiyo Huduma ,kwa sababu kupitia hii mashine utatoa Huduma zaidi ya miamala ya kifedha.
Gharama ya hii sh ngapi mkuu
Sikumbuki kwa sasa ,ila mpaka mwezi wa 4 ilikuwa 600000Gharama ya hii sh ngapi mkuu
Inauzwa kama laki 6 hivi ila inahuduma nyingi sana ,miamala yote ya kifedha ,Luku ,TRA payment ,Dawasco, ving'amuzi nk...Inauzwaje hiyo mashine?
hebu elezea vizuri hapo mkuu, hela yangu hiyo 600,000/= itarudi vipi na faida kwa muamala mmoja ni kiasi ganiSikumbuki kwa sasa ,ila mpaka mwezi wa 4 ilikuwa 600000
Pesa inarudi kama ifuatavyo kila muamala unaofanya unalipwa camission ya 2.5 kwa Luku ,ila mpesa na mitandao mingine ya kifedha inaendana na mazingira ya kampuni husika.hebu elezea vizuri hapo mkuu, hela yangu hiyo 600,000/= itarudi vipi na faida kwa muamala mmoja ni kiasi gani
2.5 million au?funguka zaidi maana tupo wengi tunaotaman kufaham kuhusu iyo sellcomPesa inarudi kama ifuatavyo kila muamala unaofanya unalipwa camission ya 2.5 kwa Luku ,ila mpesa na mitandao mingine ya kifedha inaendana na mazingira ya kampuni husika.
proxy naomba umjibu huyu wengine tunufaike, na ikiwezekana eleza taratibu na mahitaji ya kupata/kununua hicho kimashine cha selcom au Max malipoNaomba niulize kati ya commission ya mashine za selcom na max malipo na line za uwakala i.e m-pesa, tigo pesa ipi ipo juu
Naomba niulize kati ya commission ya mashine za selcom na max malipo na line za uwakala i.e m-pesa, tigo pesa ipi ipo juu
Laki 5 kununua jumlisha na laki 2 kama kianzio ...jumla laki 7...Inauzwaje hiyo mashine?
Now jumla laki 7Sikumbuki kwa sasa ,ila mpaka mwezi wa 4 ilikuwa 600000
Laki 5 kununua jumlisha na laki 2 kama kianzio ...jumla laki 7
airtel na vodaMtandao gani unataka