Laini ya Wakala M-Pesa Inauzwa

Laini ya Wakala M-Pesa Inauzwa

Unamaanisha nini kusema line 1 na line 2

SIM 1 Ni ile inayotumiwa na wakala kwa shughuli za kuweka na kupokea Pesa kutoka kwa mteja.
SIM 2 Hii huitwa Management.. Ndiyo inayosimamia shughuli zote za wakala. inatumika kuwekea Pesa au kutoa Pesa Benki. Pia inatumika kuchukulia Faida yako (Commission), kubadilisha PIN n.k,,, hii mara zote inapaswa akae nayo mmiliki wa Biashara..
 
hivi voda siku hizi wana wauza line zao kwa mtindo huuu....? ama kweli hili soko huria.
 
Bado ipo? Naweza kutumia kama haina jina langu? Vp utoaji wa float ctapata shida?
 
float ndio nn?

Float ni pesa ya kwenye hyo line. Line1 ni kwa kazi na line2 mgt kwa kutoa pesa ama kuweka ktk a/c yako ya mpesa thru bank ili uweze kuwa na float za kufanyia kazi kwny cm na cash. Yategemea transactions zitavyokwenda zaweza kujibalance pia.
 
Bado ipo? Naweza kutumia kama haina jina langu? Vp utoaji wa float ctapata shida?

line bado ipo.. unaweza kuitumia bila tatizo bila jina lako cha msingi unazo line zote mbili Sim 1 na Sim 2, nitakupatia zote hizi.. hutapata shida kutoa float kwa kuwa utaweka PIN zako mwenyewe na hakuna atakayeweza kuingia bila ridhaa yako...
 
anayoihitaji anicheki nimpatie kwa bei ya kutupa kabisa 0689626886
 
Back
Top Bottom