ISAYA ELINEEMA
Member
- Jan 5, 2015
- 47
- 19
Laini ya uwakala M Pesa inauzwa
LAINI YA UWAKALA MPESA INAUZWA
LAINI YA UWAKALA MPESA INAUZWA
Haina punguzo mkuuLaini ya uwakala M Pesa inauzwa
LAINI YA UWAKALA MPESA INAUZWA
sasa hv unanunua lain kwa mtu, unaweka float, kumbe wenzako wana mbinu zao salio linachotwa, hujui limepita wapi, tuwe makin na hizi lain za kununua kwa watu,Haina punguzo mkuu
sasa hv unanunua lain kwa mtu, unaweka float, kumbe wenzako wana mbinu zao salio linachotwa, hujui limepita wapi, tuwe makin na hizi lain za kununua kwa watu,
ni kweli kabisaLine nyingine utaishia kufanyia watu kazi
we inaonekana hujui kabisa hz mambo za float zinaendaje. bora ukakaa kimya.sasa hv unanunua lain kwa mtu, unaweka float, kumbe wenzako wana mbinu zao salio linachotwa, hujui limepita wapi, tuwe makin na hizi lain za kununua kwa watu,
tatizo wabongo mnataka kitu kisicho na kasoro mtaani. jamaa kashasema anauza laki na nusu maramshaanza kuleta habari za utafanyia watu kazi, mara ya kesi.. ndo nyie mnaotaka nguo ya dukani mtumbani. kama hauna ela kaa kimya.
Mjini shule shamba kilimo karibu jamiiforumstatizo wabongo mnataka kitu kisicho na kasoro mtaani. jamaa kashasema anauza laki na nusu maramshaanza kuleta habari za utafanyia watu kazi, mara ya kesi.. ndo nyie mnaotaka nguo ya dukani mtumbani. kama hauna ela kaa kimya.
najua saaaaaaaaaaaaaaaaaanaatatizo wabongo mnataka kitu kisicho na kasoro mtaani. jamaa kashasema anauza laki na nusu maramshaanza kuleta habari za utafanyia watu kazi, mara ya kesi.. ndo nyie mnaotaka nguo ya dukani mtumbani. kama hauna ela kaa kimya.
sasa kama wewe utaki usianzae kuponda vitu usivyo vijuaNunua basi wewe mwenye hela, ila kesho sio urudi kulialia hapa.
lazima wafahamu mapema wasije fanyia watu wengine kazi, natoa hojaMimi pia nauza laki na ishirini nipo moshi mawasiliano 0752474481