Sorry, sijui ni mimi tu ndiyo sielewi au kuna baadhi ya watu pia hawaelewi.
Bandiko/Tangazo linatolewa adharani, ila majibu yanahitajika yatolewe PM. sasa kama huko pm ndiko kunafahaa, kwanini watu wasipeleke matangazo yao huko?
Utasikia njoo pm tuongee wakati pia wafuatiliaji wengine wanataka kufahamu kinacho endelea.
Ni wachache sana wakisha mailizana huko pm, wanaleta mrejesho.