Mie nataka hiyo laini nipe namba yako ili tuweze kufanya biashara
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Huo ni utoto mnaoufanya mwenzenu kaanzisha uzi mnadandia. SI MWANZISHE NA NYIE ZENU? Kuweni wastaabu kama ulikuwa na nia ya kuuza ungeanzisha uzi wako mwenyewe ni tabia ya kishenzi