Laigwanan for 2015

Rais atakayekuja angalau Kuokoa Maisha ya Watanzania kwa Kiasi fulani
 
RICHMOND! HaTUJASAHAU walichokifanya yeye na Fisadi mwenzake Kikwete.
 
Nchii ina wazembe wengi nchi hii inavivu wengi!!sijui ninani wakumuokoa mwenzake!!
 
Nchii ina wazembe wengi nchi hii inavivu wengi!!sijui ninani wakumuokoa mwenzake!!

mkuu kiboko wa wazembe na wavivu ni laigwana peke yake hamna mwingine.
 
Rais: EL
W/mkuu: Vijisenti
W/Fedha RA
Thanks
 
Hakuna mtu ambaye haibi Tanzania , ni wachache sana wanaoishi kwa kipato chao halali. Mwacheni mzee wa watu bwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…