Lady kataika pozi

Lady kataika pozi

habarini marafiki muoneni ladyf katika pozi mbalimbali na
mwonekano wa kitofauti yeye uwaga anabadilika
hivyo msishangae sana kuona kawa black ni manukato
aliyopakaa ndo yanafanya awe hivyo
na kubadlilisha sura yake nzima
mnamuonaje je analipa? View attachment 151764


sasa hapa amepakaa mavituzi kawa black beauty kiistyle

View attachment 151765

na hapa anaonekana kama vile mchangamfu fulani vile ona:

View attachment 151767

mnanionaje nalipa?
hulipi... Utapewa bure!!
 
umelianzisha mwenyewe waonyeshe vyote tu.:rapture:
 
habarini marafiki muoneni Ladyf katika pozi mbalimbali na
mwonekano wa kitofauti yeye uwaga anabadilika
hivyo msishangae sana kuona kawa black ni manukato
aliyopakaa ndo yanafanya awe hivyo
na kubadlilisha sura yake nzima
mnamuonaje je analipa? View attachment 151764


sasa hapa amepakaa mavituzi kawa black beauty kiistyle

View attachment 151765

na hapa anaonekana kama vile mchangamfu fulani vile ona:

View attachment 151767

mnanionaje NALIPA?
Bidhaa nyengine hazina hasara lazima atatokea wa kutia thamani.
 
Back
Top Bottom