Lady JD chali, Watu Wanacheza bila Kukunja Goti...

Bila kukunja goti ni ya Afrika Mashariki, Magharibi, na kusini mwa jangwa la Sahara...
Futa mapovu njoo na hoja...

Ina maudhui gani kwa jamii mkuu?! Inatufundisha nini? Mwimbaji anawasilisha ujumbe gani kwa jamii ya maeneo uliyotaja na dunia kwaujumla?
 
Cheza bila kukunja goti? ndo nini hiyo? au ndo kumpumliwa kisogn? muwe mnawaza wakati mnapo-post!

kwi kwi kwi kwi Bibi yenu kapiga sarakasi huku kavaa taulo tu...
Mwana FA msomi wa ukweli anapiga kazi na kwenye ramani ya Muziki still ana run...
Sasa kamshauri shost wako awaze atafanya nini sasa?
Maana nyimbo akitoa hata miezi mitatu hazimalizi zinakuwa alijojo...
 
mleta uzi,napenda kuchkua nafasi hii kukupongeza na kuleta uzi usio na mashiko. pia nakuuliza JD unamjua vzr au unatka comment nying??

I know Her...
She was...but kwa sasa kachambia Ramani...
 
Ina maudhui gani kwa jamii mkuu?! Inatufundisha nini? Mwimbaji anawasilisha ujumbe gani kwa jamii ya maeneo uliyotaja na dunia kwaujumla?

jitahidi uisikilize...
Maana maswali yako yoote utajijibu mwenyewe.
Asante kwa kuonesha utashi.
Unakaribishwa tena ukishausikia wimbo huo kwa majadiliano zaidi.
 
hv ule kama zamn c ulitoka baada ya joto hasira?? sa mbna c usikii huu wa kukunja got c collabo ya mtu tatu tena imetoka hv karbun?? cn uhakika na kipimo cha comparison kikoje!!

Ukitaka kumshinda mjinga we usishindane nae...
bibi aliibuka na kumchafua sana FA kwenye mitandao...na hata kupelekea kumwita jina la Kike jamaa.
But FA akatumia njia ileile ya ''MBWA UKIMJUWA JINA HAKUSUMBUI''...
So akapiga kimya na hakumjibisha.
Matokeo yake sasa hivi Bibi hana tena wa kumchokonoa na kuanzisha nae tafrani ili arudishe jina.
Kwa sasa kapoaaa, hapo Nyumbani Lounge napo hapabambi kama zamani.
Huku Skylight wanakonga nyoyo za washashi, huku FA anasuuza nyoyo za wahafidhina...

Bibi sasa atafute Kanisa au jumuia ili ajiunge na kwaya...labda huko atafuta kamasi na kupata ahueni...
 
Naona hata ile show ya jide haikukupa akili kwamba jide ni kifaa kinakubalika. Futa povu sasa

Wewe unatumia kichwa kubebea mashikio hayo kama kalai...
hivi ile Show ilifanyika lini?
Na je umepita Nyumbani Lounge anakofanya makongamano yake?
Utamuonea huruma anavyoimba kwa sauti kali ilimradi aite mashabiki...
 
1-Anaconda-001.jpg
 
tunaoiona kesho tulisimama imara na kuweka msimamo kuwa huyu kikongwe kaishiwa na anatapata tu ili apate huruma ya wakurupukaji...

yametimia ya waungwana.
hatimae Old Lady toka mkoa wa Mara zile nyimbo zake mbili ambazo alishauriwa akawauzie wakulima wa Mpunga ili zitumike kufukuzia Ndege, leo hii hazisikiki.
Joto hasira na Yahaya hata Kilabuni hazivumi tena, hapo anapofanya shoo na kwaya yake napo kwishney.

Wakati upande wa pili Mwana FA ambaye aliwahi kutuhumiwa na Bibi huyu akiwa anaunguruma ipasavyo kwenye kibao kilichoibamba Africa Mashariki kwa sasa kinachokwenda kwa jina la Cheza bila kukunja goti akiwa anafanya vema na kukimbiza.

Hakika Jide kapotea kama harufu ya Ushuzi...

Kucheza bila kukunja goti ni dalili ya USHOGA kama ulikuwa hujui walichomaanisha
 
Jaydee anafanya vizuri tu, karibia bodaboda zote zina nyimbo ya yahaya, radio bado zinapiga we sijui unasikiliza radio gani? , tunaona kwenye Coke studio, Mwache dada wa watu afanye kazi zake, mwanaFA katoka nyimbo kama zamani haijadumu ata mwezi, hiyo cheza bila kukunja goti ni nguvu ya watu 3. Kuwa na mtu kama jide kwa miaka 13 kwenye gamu bila kushuka kiwango si kitu kidogo. Wache vijana wafanye music tufurahi

Acha kusifia ujinga. Wimbo upi LJD ameimba peke yake uka hit?
1. Hana kipaji
2. Nyimbo zote za kitoto
3. Wimbo wake u-hit lazima ashirikishe mwanamuziki mwingine.
Akubali yeye siyo tishio. Alibahatika tu. Na akiendelea kutojitambua atakufa kimuziki

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Ile nyimbo ya jide na rama dee(kama huwezi)ni hatari,japo kama zamani nayo ni nzuri ila mwanaFA mgosi yule apunguze kujipendekeza Clouds...

Fiesta uliona walivyodhalilishwa kwa kuzimiwa mic!?alafu wanadanganywa eti kulikuwa na hitlafu,matatizo gani yotokee kwao tu na wakina Fid ila akipanda diamond yaishe!?
 
Ukitaka kumshinda mjinga we usishindane nae...
bibi aliibuka na kumchafua sana FA kwenye mitandao...na hata kupelekea kumwita jina la Kike jamaa.
But FA akatumia njia ileile ya ''MBWA UKIMJUWA JINA HAKUSUMBUI''...
So akapiga kimya na hakumjibisha.
Matokeo yake sasa hivi Bibi hana tena wa kumchokonoa na kuanzisha nae tafrani ili arudishe jina.
Kwa sasa kapoaaa, hapo Nyumbani Lounge napo hapabambi kama zamani.
Huku Skylight wanakonga nyoyo za washashi, huku FA anasuuza nyoyo za wahafidhina...

Bibi sasa atafute Kanisa au jumuia ili ajiunge na kwaya...labda huko atafuta kamasi na kupata ahueni...

kwan joto hasira ilikua kwa ajil ya mwana fa? na hata hvyo hukuona kama huyo bila kukunja got aliingzwa kwenye ugmv wa mafahar wawil na akatumika vibaya??
 
Inaelekea hata w'end hutoki kwenda viwanja...
So we subiri kuolewa tu.

uache ushamba we mwanamke, viwanja vyangu na vyako tofauti. mimi sipo tanzania, viwanja vyangu ni soccer na kwenda beach na familia yangu, sio sawa na wew unaeenda bar kushikwashikwa ma.ta.ko na wanaume wenzako.
 
Huyu jamaa katumwa na cloudsfm nin jaydee yupo juu sana na ana band yk mwenyewe machoz band

Hio ndo mbinu alioitumia Jide...
Na wewe unakuja na hiohio...tazama kwenye thread au post yangu yoyote kama nimetaja au kukihusisha kituo chochote cha Redio.
Wakurupukaji wenzio watakusapoti, ila waelevu wala huwezi kuwaokota.
Hao uliowataja hapo wana mapungufu yao...ila hapa ni mimi VS Bibi.
 
Acha kusifia ujinga. Wimbo upi LJD ameimba peke yake uka hit?
1. Hana kipaji
2. Nyimbo zote za kitoto
3. Wimbo wake u-hit lazima ashirikishe mwanamuziki mwingine.
Akubali yeye siyo tishio. Alibahatika tu. Na akiendelea kutojitambua atakufa kimuziki

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Baelezee wakurupukaji...
wanamsifia Jide mitandaoni ile hali mwenzao pale nyumbani Lounge anatamani aparudishe...teh teh teh
 
kwan joto hasira ilikua kwa ajil ya mwana fa? na hata hvyo hukuona kama huyo bila kukunja got aliingzwa kwenye ugmv wa mafahar wawil na akatumika vibaya??

Alitumika kivipi?
Weka ushahidi mezani kisha tujuwe ni nani alikuwa wa kwanza kusema atafanya shoo tarehe ile?

Acha kudundishwa kama kitenesi.
Yule Bibi alikuwa anatafuta huruma zenu na akafanikiwa kuwapata.

Mbona alishindwa kuthibitisha madai ya kile kituo cha Redio alichokishutumu kumnyonya na kumkandamiza?

Matokeo yake na nyie wakurupukaji mkaingizwa mkenge na kwenda kujenga bifu na watu ambalo halina kichwa, tumbo wala miguu.

Jifunze kufanya uchunguzi wewe mwenyewe au kupima kauli za wasanii.
Wana mbinu nyingi za kukuvutia ili ufanikishe kumuingizia kipato...

Shtuka
 
Back
Top Bottom