Ha ha ha hayo majina Maimuna kibajaji na Abdalah msogoti yamewapendeza mbadili ID zenu lol...
mbona hii ina muda sanaAaah umebadili avatar
Ha ha ha katafute ubuyu tujue kama kapata mwingine lol....Inahusu mapenzi, umo full kumsifia mpenzi wake, sijui ndo gadner au kapata mwingine
mbona hii ina muda sana
mmh siasani ban kila dakika matusi ndo wachaaa sijui mods wa huko wapo martenity leave....Ahaaaa....ahsante....siasani hutokei sana ndo maana
Hhhhhhhhaaaaaa
maimuna kibajaji
ha ha ha ha ha ha
nimecheka kama mwandawazimu
btw jina lako zuri
Aliyempamba kampatia kweli! Kaonekana binti hakika!
Hiyo single kaimba na mdogo wake Dabo na ni yamiondoko ya Reggae ....let's wait..lakini kama kawaida track zake
kwi kwi kwi kina yahaya....Jide anapendaga mazezeta tu wanaume wasiojielewa kama gadner