Mkuu utulivu wa nchi jirani ni usalama kwa nchi yetu. Ndio maana tuna wizara inayoshughulikia mambo ya Afrika Mashariki na mambo ya nje kwa ujumla.
Nchi inajengwa, tena kwa kasi kubwa.
Hili jukwaa linahusu habari kutoka mataifa mbali mbali sio Afrika Mashariki tu. Tanzania sio kisiwa, pia ukihitaji habari kuhusu Tanzania zipo kwenye majukwaa mengine.