Ladies, hii ndio njia ya kuolewa fasta

Huu msemo wa wanaume wa Dar huu, siku si nyingi wanaume wa dar hawataacha mtu salama
 
Hapo Kwenye mambo ya Kufunga harusi Ndio vijana wengi wanakukimbia.

Kuna gharama nyingi Sana na hii yote inakuwaga sababu ya shinikizo LA wanawake.

Ungewashauri wawe wanawaomba wanaume wakatoe mahari kwao waendelee kuishi.
Ndoa watabariki baadaye.
 
Siku hiz wanawake inabidi wajifunze kutongoza wanaume kwa sababu wanaume wamekuwa wachache alafu waoaji ndio wachache zaidi
 


Duu aise ulijitoa Mhanga na tayari unaolewa Jumamosi .. Ngoja JF tukuchangia hili swala la kutoa hoja kwa kivulia cha Rafiki hakijawahi kuwaacha watu salama hahaha
 
Unajuwa Wanaume huwa kuna wanawake tunajua kabisa huyu anafaa kuoa na kuwekwa ndani ya mjengo na kuna wengine kutokana na wanavyojiweka huwa tunajua tu huyu ni wakujilia papuchi hata atumie hiyo njia uliyo itaja ni kazi bure.

mhh siyo kila kitu huenda sawa kwa kila mtu, so some may be well or not well.
 
Sisi huwa hatuoi eti kwa sabb umetukumbusha tuoe..tunaoa kwa sabb una vigezo vya kuoa na nina utayari wa kufanya hivo...hy sio mbinu..imetokea tuu kwa huyo..unataka kuniambia huyo jamaa alisahau kumuoa huyo msichana,ndo mpk akumbushwe??
 
We wadanganye wenzio tu,
Ungejua wanaume akili zetu zinarudigi baada ya papuchino.
 
Bro me nishaolewaga miaka 20 iliopita
Unichangie nini labda?!
Unichangie unaniboa? ! Nimekuombaaa? !
Au unaomba kijanja kuja kwenye sherehe ya jumamosi? !


Hahah Ngoja nifike home halafu nikujibu vizuri Dada yangu,,

Karibia thread zako zote huwa unakuja kwa gia ya Friend zangu, Mashoga Zangu, Boss Wangu... Yaani wewe ni Msimualiaji wa Ya wenzio tu... Hakuna Binadamu wa Hivyo yaani kila anachokisema kimemtokea fulani fulani fulani tu.. Acha nisigombane na Traffic Kwanza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…