Ladha ya kupombeka

Habari za uchawi unaziacha taratibu... unahamia POMBENI
 
Joke iko wapi hapo ,mtu alinambia huyu mukuu anajiheshimu sana ,hapa anahamasisha ulevi na uzinifu bila anachokiita ndomu
Mmh

The only itakuchukua muda kunielewa na fasihi niliyotumia... Labda nikugusie tu kwamba kuna madaraka ya kulevya na aliyelewa huwa careless hasa linapokuja swala la ngono, hawezi kukumbuka kondom....
Kilevi cha madaraka huwafanya watu kuwa na maamuzi ya hovyo kama mlevi mbele ya kipochi manyoya. ..... Endelea kutafakari
Kuna ashiki ya ngono lakini pia kuna ashiki ya madaraka...
Kuna kilevi cha pombe lakini kuna kilevi cha madaraka...

Kuepuka upotoshaji na tafsiri isiyo sahihi nimeamua kukupa mtazamo kidogo wa kile nilichoandika kifasihi
 
Bila shaka mkuu mshana umeshashtua by the time unaandika hii thread
Kuna jamaa mmoja huwa akitoa speech zake pia huwa nawaza kama wewe! Kwamba mmh...! Kwa speech hii! Hajastua kweli huyu
 
"Kungonoka bila ndomu baada ya kunywa kilevi"=kufanya maamuzi bila kufuata katiba baada ya kupata madaraka!
 

Eti kipochimanyoya
 
Kuna jamaa mmoja huwa akitoa speech zake pia huwa nawaza kama wewe! Kwamba mmh...! Kwa speech hii! Hajastua kweli huyu
Tena yule unaweza kukuta ameshtua na pampula au wanzuki, maana sio kwa speech zile.
 
Papuchi ndo kitu pekee kinachozidi ladha pombe!

Altho kuna baadhi ya vipochi haviingii kwa gambe..ndukiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…