Ladha ya kupombeka

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,752
Reaction score
830,879
Mabinti zake Lutu baada ya angamizo la Sodoma lililoondoka na mama yao mzazi.... Pamoja na nia yao ya kuendeleza KIZAZI lakini pia hamu(ashiki
!) Viliwatuma wapange ku do na baba yao mzazi



Hakuna asiyejua nguvu ya mvinyo hasa kwa wale madomo zege
lakini pia kuna ladha yake very amazing when you are high with red
wine
and some alcohol in your spine
bila kusahau ngumu kumeza! Ndomu kitu gani bana! Wengi wameangamia Samson wa Delilah ni mmojawapo.

Kipochi manyoya hakina adabu kabisa kile kidude... KIONE!!!!
sura mbaya LAKINI MWANA!
USIPIME kajiimbia Mwasiti 'Sio kisa pombe mama/my?! Acha kabisa ANAJUA
 
Mshana jr watch it hapo ni counter
 
Kwani mtu kuandika kuhusu pombe hajiheshimu??au mtu anaekunywa pombe hajiheshimu?mtu anaejiheshimu pia hatakiwi kutoa hata jokes??...the one and only
Joke iko wapi hapo ,mtu alinambia huyu mukuu anajiheshimu sana, hapa anahamasisha ulevi na uzinifu bila anachokiita ndomu
 
Hivi kipochi manyoya huwa ni nini?.... malisikiaga sana hili neno
 
Mshana Jr. naomba upendekeze hili.

Kama mtu amelewa au amekunywa kileo, basi na anene au aseme kabla ya kupost JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…