Laboratory technician

kitaz

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
17
Reaction score
1
Jaman admin. Kwa mtu anayefaham vyuo vya serikali vinavyo offer diploma ya laboratory technician msaada plz!!
 
kuna tofaut gan hapa kama unajua- laboratory science+laboratory technology+laboratory technician
 
ivyo vyote ulivyooandika havina utofauti,sema iko tofauti na hii kitu inayoitwa medical laboratory technology/science/technician ambae uyu yupo based sana na maabara za afya/hospitalin. ni ya kimedicene zaidi tofauti na iyo
 
Duh thanx dr.hb ,en ukpga lab.technnology unauwezo wa kuspecialize xehemu mfano. Wanaofanya kaz kwne hoxptalin na viwanda
 
kwa kua specilized kwa hosp haiwezekan,coz wanaospecialize lab za hosp ni hao medical laboratory,kwa iyo ya kwako unaweza ukasoma tena kitu kinachoitwa biotechnology ambayo inahusiana na viwanda,lakin kwa hosp ni ngumu
 
Anhaa na btn medical.lab vs biotechn. Ip inamaslah zaid endapo ukifaulu vyema
 
zote ziko poa tu,ni wewe mwenyew unahitaji ipi?kwasababu medical lab,anafanya kazi hosp,had katika research centres za kimedical,biotechnology, viwandani,had kwenye research kwa kias fulan anahusika,kiufup ni course nzur zote.ila angalizo med lab ni rahisi kupata kaz serikalin kuliko biotechnology,ambapo biotechology viwandan ndo wanaajiriwa sana
 
Duh nashukuru xana kwa maelezo yako yaliyojitosheleza!
 
una taka kusoma medical lab sciences au lab sciences
 
Hapa ndo umenifungua akili asnte san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…