Likin mkuu kuhusu koz hii veta sasa inakuwaje naskia et INA bezi sana viwandan je kwl? Sasa hapo ajira si mtihn
Mm nimesema veta kuna kozi ya LABORATORY ASSISTANT
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dogo langu inabidi nicheke..... Naomba nirudie... Kuna watu wamesoma 6 years na master's zao tupo nao mitaani wanahangaika.... Wewe ni nani?Kozi hii nimechaguliwa sasa bado sijaijua kiupana zaidi.unaweza kujikta wasomea kitu badae ikaja kuwa tatzo ukjikta umepoteza mda
Brother ebu nielewe nn nauliza usijibu2 ili uchekeshe bunge. Mm nlitka kuelewesha kozi hii kwa veta inakuwaje yan kule ina bezi nn hasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dogo langu inabidi nicheke..... Naomba nirudie... Kuna watu wamesoma 6 years na master's zao tupo nao mitaani wanahangaika.... Wewe ni nani?
Suala la ajira kwasasa ni ngumu kupata, jukumu lako kama wataka kusoma kasome ila wakati unasoma waza nje ya box......
Nikuulize umeahidiwa ajira baada ya kumaliza?
Nina washkaji zangu scientists watatu walioondoka Halmashauri baada ya kutoka shule, wengi wanakimbilia sehemu za mjini hasa zenye vyuo vya kati ambapo wanaweza kufanya part-time ya kufundisha.
Kama wengi wanafanya hivyo inaweza kuwa sababu ya Halmashauri kutoweka kada hiyo kwenye mahitaji yake.
[emoji3516]Jamani wadau naombeni msaada wenu mm nilifanya mthni wa kujiunga na veta mwaka Jana nikachaguliwa kozi hii LABORATORY ASSISTANT.
Hivyo wadau, naombeni msaada: je, kozi hii vp ajira yake yani soko lake katka kipind hiki je haina ugumu wa soko la ajira?
Assistant!! Jina la course lina mapungufu makubwaJamani wadau naombeni msaada wenu mm nilifanya mthni wa kujiunga na veta mwaka Jana nikachaguliwa kozi hii LABORATORY ASSISTANT.
Hivyo wadau, naombeni msaada: je, kozi hii vp ajira yake yani soko lake katka kipind hiki je haina ugumu wa soko la ajira?
wewe jamaa unapoteza dogo! oohAssistant ni certificate.
Tukirudi kwenye swali, kada zote za Afya zina ajira serikalini na vituo binafsi, ukitoa community health ambayo bado haijatambuliwa.
Laboratory Assistants ndio wamejazana huko vituo vya serikali hadi hospitali za wilaya, kuna halmashauri ukiwa Lab technician basi utapata shavu la kuwa DLT ama angalau Mkuu wa Idara katika hospitali ya halmashauri.
Bado inalipa kwakua Lab scientists hawapo tayari kufanya kazi halmashauri, kwahiyo nafasi zinabaki kuwa za hawa Technicians na Assistants.