Jicholamwewe
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 374
- 473
haina ajira ya uharaka mpaka ujiajiriJamani wadau naombeni msaada wenu mm nilifanya mthni wa kujiunga na veta mwaka Jana nikachaguliwa kozi hii LABORATORY ASSISTANT.
Hivyo wadau, naombeni msaada: je, kozi hii vp ajira yake yani soko lake katka kipind hiki je haina ugumu wa soko la ajira?
Huonagi maabara mtaani zinapima magonjwa ??Naombeni mwongozo hapo nisije nikasomea kitu kikaja kusumbua badae
Kasome fasta ajira zipo nyingi sanahaina ajira ya uharaka mpaka ujiajiri
😂😂😂 Jamaa umeongea kwa uchungu sanaSasa wadau tuache mambo hayo.lengo letu tupo kusaidiana kimawazo sababu tumetofautiana ki fikira.mbona siwaelewi wengine wanasema nzr wengine ajira ngumu.wadau tuache mizaa BC tusaidiane
Certificate or diploma
Assistant ni certificate.
Tukirudi kwenye swali, kada zote za Afya zina ajira serikalini na vituo binafsi, ukitoa community health ambayo bado haijatambuliwa.
Laboratory Assistants ndio wamejazana huko vituo vya serikali hadi hospitali za wilaya, kuna halmashauri ukiwa Lab technician basi utapata shavu la kuwa DLT ama angalau Mkuu wa Idara katika hospitali ya halmashauri.
Bado inalipa kwakua Lab scientists hawapo tayari kufanya kazi halmashauri, kwahiyo nafasi zinabaki kuwa za hawa Technicians na Assistants.
Likin mkuu kuhusu koz hii veta sasa inakuwaje naskia et INA bezi sana viwandan je kwl? Sasa hapo ajira si mtihnAssistant ni certificate.
Tukirudi kwenye swali, kada zote za Afya zina ajira serikalini na vituo binafsi, ukitoa community health ambayo bado haijatambuliwa.
Laboratory Assistants ndio wamejazana huko vituo vya serikali hadi hospitali za wilaya, kuna halmashauri ukiwa Lab technician basi utapata shavu la kuwa DLT ama angalau Mkuu wa Idara katika hospitali ya halmashauri.
Bado inalipa kwakua Lab scientists hawapo tayari kufanya kazi halmashauri, kwahiyo nafasi zinabaki kuwa za hawa Technicians na Assistants.
Za kuambiwa changanya na zako,ishu ya ajira ni ngumu sana kwa sasa,kama unaona una uwezo wa kusoma na kujiajiri ni vizuri zaidi ila kutegemea uajiriwe serikalini au private ni kupoteza Muda na pesaSasa wadau tuache mambo hayo.lengo letu tupo kusaidiana kimawazo sababu tumetofautiana ki fikira.mbona siwaelewi wengine wanasema nzr wengine ajira ngumu.wadau tuache mizaa BC tusaidiane
Uliza tuone kama tutanibu hayo mapenzi[emoji3]Ningeuliza kuhusu mapenzi mngenijibu vzr bila mizaa mmmmh sisi watanzania bado sana OK samahnini
Safi sanaDogo labda niseme hivi.... Suala la ajira kwasasa ni ngumu kupata na ukiipata watakupa hela ya chai na maandazi.....
Kama unataka kusoma nenda kasome ila suala la nitaajiriwa embu litoe kwanza....
Elimika ukimaliza tafuta fursa.....
Watu wana miaka 8 hawajaona ajira wewe ni nani?