Mkuu....
Nina experience na haya mambo kwa zaidi ya miaka 15.
Kwa jinsi ulivyo andika, nahisi nimekuelewa sawia.
Sina neno zuri la kusema zaidi ya kuku shauri ukaze moyo, na ukikubali kuyumba kwa ajili ya mahaba ujue ndio umejimaliza.
Pole sana comrade.
Muombe Mungu akupe wepesi katika kipindi hiki cha mpito.