nakumbuka sana nlivyoitunza hadi nikiwa university second year , nkaona nimepata kumbe nilipatikana duuu nilimchukia yule kijana aiseee alinipa definition ya kibuti

Hamna ukweli! Wowote! unamtoa bikira! Na anakusahau kama kawaida!! Mwanamke atakukumbuka tu kama,ulimjari,ulimuheshimu, na ulimpenda pia! Na ni pale atakapoingia mahusiano mapya! Nakukuta khali tofauti!! Lakini Et Bikira Akukumbuke daima! Atakuesabu tu!!
niioa asiye na bikra ina maana sina ahadi naye? Anapomwaga damu wakati wa hedhi anakuwa na ahadi na nani? Ikiwa kila ninympata hana bikra ina maana Mungu hakuniandalia mke? Wacha imani potofu

Hakuna laana yoyote ktk mapenzi..yamkini ukisema umemtibua mwanandoa wako wa halali na wala hakua na makosa yoyote dhidi yako ila umefanya kwa makusudi tu hiyo naweza sema utapata misukosuko kama laana juu yako.lakini MUNGU analaanije kumtenga mtu ambae mlikua mnazini?sema mtaingia wote ktk laana ya uzinzi ili mpate hukumu ya MUNGU nyote wawili.mtoa mada labda ungekuja na swali linalosema ukilala na mwanaume/mwanamke ile roho ya huyo hukufuata muda wote maana ni kama mmeingia ktk mambo ya rohoni au sirini,lakini kusema ni laana nakataa.