Brain Mpogole
Member
- Feb 14, 2017
- 11
- 19
Baadhi ya watu wakiongea, Maneno yao uwa hayapotei hivi hivi 🤔... Ni miaka 60 imepita katika ile 100 waliyopewa! Na kibaya zaidi aliyechukizwa ayupo tena, acha wajikongoje bado 40Mnamo mwaka 1962 Benfica iliwaadhibu klabu kongwe na mabingwa wakihistoria ktk mashindano ya ulaya Real Madrid kwa mabao 5;3 huku real Madrid ikiongozwa na mastaa kama Alfredo Di'stefano,Puskas. Benfica walitoka nyuma nakuibuka na ushindi wakiongozwa na black tiger Eusebio ukiwa muendelezo wa mafanikio ndani ya klabu hio kwa Miaka hio,ila badae waliachiwa laana inayowatesa kwenye mashindano ya nje ya Ureno yaani UEFA & Europe league,tatizo lilianzia hapa[emoji116]
:
#Bela__Guttmann
Huyu ni Raia wa Hungary ni kocha alieipa mafanikio Benfica sana na ndie aliongoza timu hio kuifunga Madrid nakuchuka kombe hilo back to back na ndio alioijinga kua moja ya klabu tishio zaidi dunia kwa wakati huo ikisumbua vigogo wote unaowajua wewe, ila tatzo lilianzia hapa baada ya final hio dhidi ya Madrid kocha huyu aliomba ongezeko la mshahara pmj na mkataba mpya lkn klabu ya hio ilimgomea kitendo kilichomchukiza kocha huyo na kuamua kung'atuka kuifundisha pmj nakuacha laana yakwamba hawataka wafanikiwe ktk mashindano ya ulaya kwa miaka100 tokea kipindi hiko.
:
Na hizi ndizo final za mashindano ya ulaya Benfica walizozipoteza baada ya laana hio.
.
[emoji117]1962/63 Vs Ac Millan
[emoji117]1964/65 Vs Inter Milan
[emoji117]1967/68 Vs Manchester Utd
[emoji117]1982/83 Vs Anderlecht
[emoji117]1987/88 Vs PSV
[emoji117]1989/90 Vs Ac Milan
[emoji117]2012/13 Vs Chelsea
[emoji117]2013/114 Vs Sevilla
:
Mwaka wa1990 aliekua kiongozi wa klabu hio alijaribu kwenda kwenye kaburi la kocha Huyo kabla ya final dhidi ya Ac Milan kwaajili yakumuomba radhi juu ya laana yake ila haikusaidia kitu..laana hii bado inaendelea kuwatesa kila siku. [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
tupia na laana ya livaMnamo mwaka 1962 Benfica iliwaadhibu klabu kongwe na mabingwa wakihistoria ktk mashindano ya ulaya Real Madrid kwa mabao 5;3 huku real Madrid ikiongozwa na mastaa kama Alfredo Di'stefano,Puskas. Benfica walitoka nyuma nakuibuka na ushindi wakiongozwa na black tiger Eusebio ukiwa muendelezo wa mafanikio ndani ya klabu hio kwa Miaka hio,ila badae waliachiwa laana inayowatesa kwenye mashindano ya nje ya Ureno yaani UEFA & Europe league,tatizo lilianzia hapa[emoji116]
:
#Bela__Guttmann
Huyu ni Raia wa Hungary ni kocha alieipa mafanikio Benfica sana na ndie aliongoza timu hio kuifunga Madrid nakuchuka kombe hilo back to back na ndio alioijinga kua moja ya klabu tishio zaidi dunia kwa wakati huo ikisumbua vigogo wote unaowajua wewe, ila tatzo lilianzia hapa baada ya final hio dhidi ya Madrid kocha huyu aliomba ongezeko la mshahara pmj na mkataba mpya lkn klabu ya hio ilimgomea kitendo kilichomchukiza kocha huyo na kuamua kung'atuka kuifundisha pmj nakuacha laana yakwamba hawataka wafanikiwe ktk mashindano ya ulaya kwa miaka100 tokea kipindi hiko.
:
Na hizi ndizo final za mashindano ya ulaya Benfica walizozipoteza baada ya laana hio.
.
[emoji117]1962/63 Vs Ac Millan
[emoji117]1964/65 Vs Inter Milan
[emoji117]1967/68 Vs Manchester Utd
[emoji117]1982/83 Vs Anderlecht
[emoji117]1987/88 Vs PSV
[emoji117]1989/90 Vs Ac Milan
[emoji117]2012/13 Vs Chelsea
[emoji117]2013/114 Vs Sevilla
:
Mwaka wa1990 aliekua kiongozi wa klabu hio alijaribu kwenda kwenye kaburi la kocha Huyo kabla ya final dhidi ya Ac Milan kwaajili yakumuomba radhi juu ya laana yake ila haikusaidia kitu..laana hii bado inaendelea kuwatesa kila siku. [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa AC Milan hata Bela angekuwepo wangefungwa tu...Mnamo mwaka 1962 Benfica iliwaadhibu klabu kongwe na mabingwa wakihistoria ktk mashindano ya ulaya Real Madrid kwa mabao 5;3 huku real Madrid ikiongozwa na mastaa kama Alfredo Di'stefano,Puskas. Benfica walitoka nyuma nakuibuka na ushindi wakiongozwa na black tiger Eusebio ukiwa muendelezo wa mafanikio ndani ya klabu hio kwa Miaka hio,ila badae waliachiwa laana inayowatesa kwenye mashindano ya nje ya Ureno yaani UEFA & Europe league,tatizo lilianzia hapa[emoji116]
:
#Bela__Guttmann
Huyu ni Raia wa Hungary ni kocha alieipa mafanikio Benfica sana na ndie aliongoza timu hio kuifunga Madrid nakuchuka kombe hilo back to back na ndio alioijinga kua moja ya klabu tishio zaidi dunia kwa wakati huo ikisumbua vigogo wote unaowajua wewe, ila tatzo lilianzia hapa baada ya final hio dhidi ya Madrid kocha huyu aliomba ongezeko la mshahara pmj na mkataba mpya lkn klabu ya hio ilimgomea kitendo kilichomchukiza kocha huyo na kuamua kung'atuka kuifundisha pmj nakuacha laana yakwamba hawataka wafanikiwe ktk mashindano ya ulaya kwa miaka100 tokea kipindi hiko.
:
Na hizi ndizo final za mashindano ya ulaya Benfica walizozipoteza baada ya laana hio.
.
[emoji117]1962/63 Vs Ac Millan
[emoji117]1964/65 Vs Inter Milan
[emoji117]1967/68 Vs Manchester Utd
[emoji117]1982/83 Vs Anderlecht
[emoji117]1987/88 Vs PSV
[emoji117]1989/90 Vs Ac Milan
[emoji117]2012/13 Vs Chelsea
[emoji117]2013/114 Vs Sevilla
:
Mwaka wa1990 aliekua kiongozi wa klabu hio alijaribu kwenda kwenye kaburi la kocha Huyo kabla ya final dhidi ya Ac Milan kwaajili yakumuomba radhi juu ya laana yake ila haikusaidia kitu..laana hii bado inaendelea kuwatesa kila siku. [emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
hatari sana mkuu 🤣Mi nafikiri ungeelezea hizo fainali kama walifungwa kibahati bahati ili tuone kama ni laana au ulikuwa uwezo tu.
Kikubwa watoe nusu ya utajiri wakoMwamposa anaweza wapiga hela hao jamaa asubuhi kweupee
Man u,ac milan,juventus,valencia,lyon wamejiroga wenyewe maana wameshindikanaTupe na laaana ya Man u mzeee
Angel di maria,joao felix,nicolas otamendi yaan wapo kama dortmundIla Benfica inajukikana kwa kutengeneza wachezaji wazuri Sana
David Luiz
Enzo Fernandez
Bernardo Silva
Ederson Moraes
Na wengine wengi
Nasikia man u wamewai kusema hakuna tim kubwa chini ya jua zaid ya man u naona ndicho kinacho watafunaTupe na laaana ya Man u mzeee