Umeniwahi,hata mimi nilitaka kusema hivyohivyo,kuhusu mechi za mwisho ktk mashindano jumlisha na ligi ya england kuchezwa muda 1 kwa kuhofia kupanga matokeo,sasa hii ya leo USA na Germany kuna uwezekano mkubwa kwa wao kupanga matokeo ukizingatia kocha wa USA bwana Jurgen Klinsman ni mjerumani(mchezaji wa zamani wa taifa wa Ujerumani)