Kuhusu wimbo huo, nitatafuta hiyo thread niusikilize kwa makini. Tatzio kubwa kwetu tuliokaa sana nje ya nchi ni kule kushindwa kupambanua kinyamwezi na kisumbwa, kwa hiyo ukisikilza katika upande wa kinyamwezi tu bila kuchanganya kisumbwa kidogo unaweza kupotea. Ukiishi sana Tabora unakuwa huoni tofauti yoyote baina ya lugha hizo lakini kama umeshakaa nje sana, unaweza kupotea.