Kyai kya moto!

kwenye kikombe kya kyuma,umefaa na fiatu fyako!?
 
Mura kwanini usiseme sai sa muhiu kama ndugu zako wakikuyu? Au ndugu zako wameru wanaosema Mbasi badala ya basi au mvaite badala ya vaite? Mwe! Kweli mmenichekesha sana hata kama ni bangi zenu au utani wenu. Omera olukamano. Mushaija oshomile hadi chai unaita kyai kama waingereza wanavyoita tea badala ya tree. Au tuseme wafaransa wanaoita the badala ya kyai au wakikuyu wanaita sai.
 
Omurangira wakora waitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…