KWETU RAHA SANAAA.....

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,948
July 16 mwaka huu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw.Kangi Lugola alitoa siku 10 kwa Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) Bw.Andrew W. Massawe, kufika ofisini kwake Dodoma kutolea ufafanuzi baadhi ya mambo yanayohusu NIDA.

Lugola alisema Massawe anapaswa kujieleza kwanini mitambo ya kuchapisha vitambulisho haijafika nchini mpaka sasa, na maelezo ya ubiya kati ya NIDA na kampuni ya Ideis Dilham. Lugola alimpiga mkwara mzito kuwa asipofika ofisini kwake ndani ya siku 10 Massawe atamtambua. Siku 10 ziliisha July 26 mwaka huu. Massawe hakwenda.

Jana Rais JPM amemteua Masaawe kuwa Katibu mkuu ofisi ya Rais. Kwa lugha rahisi ni kwamba massawe sasa ndiye mtendaji mkuu wa ofisi ya PM. Bwana Lugola akitaka taarifa au msaada wowote kutoka ofisi ya Waziri Mkuu atalazimika kumuomba mtendaji mkuu ambaye ni Massawe.

RAHA SANA[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…