Kwetu pazuri!

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
3,373
Reaction score
6,808
Tujiandae na mvua za mwezi wa tatu! Kama unakuja kututembelea, njoo fasta kabla hatujahama...




 
Bado kuna wPuuzi wanawacheka watu wanaokaa mbagala alafu wao qanakaa maeneo kama hayo
 
Mikoani ndiyo wapi mkuu maana hata Dar ni moja ya Mikoa ya Tz
Watu wanaokaa ktk mikoa iliyopo ktk mwambao wa bahari ya Hindi mara nyingi hujitoa ktk mikoa na kuona wao wako kwenye maeneo ya pwani. Watu wa maeneo ya Tanga, Dsm, Pwani, Lindi na Mtwara wakitaka kwenda let say Arusha, Singida, Mwanza... n.k. wanasema kuwa waenda mikoani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau apo ndo ostabay au?
Walai!Lazma niamie Dar kwnye beach znazomfata mtu kwake.
 
Shida ya H2O hapo hakuna ila mlo gengeni mpaka kiangazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…