kwetu kuzuri

Wapi huko lol usa au canada manake kwa tz nafagia hapa mpaka chalinze kwa mikono.
 
Naona bendera ya Usan Bolt (Jamaica) kwa Bob marley.
 
Mkuu kuna hizi picha zengenie huwa zinafana fanana na mkoa wa unguja na hizo ni za suma yule kumbaroo wa makunduchi na sijui bado yuko hapo darajani kona na panapotengenizwa mitungi na viieungu vya udongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…