Kwenye Ndoa chuja kwanza ushauri!

Lolote utakalofanya liwe zuri au baya watu hawatokosa la kusema!!Fanya kitu kwasababu roho yako inapenda na nafsi imeridhia!!
 
kitu kizuri nikile tukinacho furahisha nafsi yako , fanya kile unaona kinafaa na siyo wanacho taka watu wengine ufanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…