RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,877
- 5,444
Nilinunua External memory card ya 8GB.. ila napatwa na matatizo kibao tu kwenye hii memory
1. Nikiweka vitu kutoka internal memory ya simu baadae huvikuti hasa hasa picha
2. Documents za Pdf/ppt/pptx zingine zinasoma/kufunguka na zingine hazifunguki document reader inasema Can't open the file
3. Videos nazo nikiweka zinasumbua hvyo hvyo
4. Kuna file moja linaitwa LOST.DIR linatokea mara kwa mara hasa nikifanya Restarting ya phone
5. Nimejaribu kuformat memory ila hayo yote yanaendelea
Kwa aliyekutana na tatizo hili anaweza kuniambia ni nn hasa