Kwenu wanawake na wa mlengo wenu

abdulrahmana

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2016
Posts
225
Reaction score
132
Kuna jambo huwa linapigiwa chapuo sana.Lakini msingi wa jambo hili unaonekana umekaa kishabiki,mpaka ikapelekea lengo kupotea na kuwaathiri sana wanawake.

Katika jamii kwa ujumla na katika familia hasa.Suala hili limeshika hatamu na huwa linanitatiza sana.Sasa naomba wale wa lengwa wanishike mkono katika hili.

Hivi walengwa huwa mnamaanisha mnataka haki sawa au kufanana kwa haki ?

Je ubora ni sawa sawa na wingi ?
 
Ongea kwa uwazi nn unamaanisha sio unaongea kitu kwa code
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…