Dah kusoma PCB tena kwa mwaka mmoja bro utajiuwa rabda uwe umesom icho kipindi unapiga mishe.Mambo vp brothers & sisters...!!
Ni mimi hapa mdogo wenu Falih kutoka pande za mbagala, leo nipo humu ndani kuomba ushauri wenu wadau wa ELIMU juu ya wazo langu katika safari hii ya elimu yenye vikwazo kadha wa kadha..!
All in all ni kwamba me ni mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne {FORM IV} mwaka 2017 na kufaulu kwa wastani wa division TWO na pia kupata nafasi ya kuchaguliwa kujiunga na kidato cha 5 kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kwa mchepuo wa SCIENCE i.e PCB ila kwa bahati mbaya kutokana na hali ngumu ya kimaisha nikashindwa kuendelea na masomo kwani sina wazazi wote wawili na istoshe nakosa SUPPORT kutoka kwa ndugu wanaonizunguka hali ambayo bado hainifanyi nikate tamaa katika safari yangu ya kimasomo..!
Hivyo basi baada ya kukaa nyumbani kwa mda wa mwaka mzima nikiwa najishughulisha kazi ndogo ndogo za kuniingizia kipato ambacho nilikuwa najichangachanga ili siku moja niweze kujiendeleza kimasomo kwa ngazi ya ADVANCE na kwa bahati nzuri nikasikia kwamba kuna uwezekano wa kusoma A-LEVEL kwa mda wa mwaka mmoja na nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kwamba ADA yake ni nafuu kwa kiasi flani naweza kuafford ila.......
SHIDA YANGU KUBWA NDUGU ZANGU NI KUTAKA KUJUA NI CENTRE GANI NAWEZA KUSOMA HIYO SPECIAL PROGRAMME YA ADVANCE KWA MWAKA 1 NA PIA YENYE HIYO COMB YA SCIENCE ili niweze kuanza hivi punde na pia ningependa kuuliza baada ya kusoma na kufanya mtihani wa KIDATO CHA 6 na kufaulu vizuri naweza kuchagua chuo kikuu nikipendacho hapa nchini na kuhusu BOOM na LOAN ni kama kawaida nakuwa considered kama wanafunzi wengine!?
"NIMEAMUA KULILETA KWENU WADAU ILI MNISAIDIE KUPATA CENTRE NZURI HAPA DAR KWANI MATAPELI NI WENGI".
Yeah! Nlikomaa na CHEM na BIOS tu ila kwa PHYS ndo nlikuwa cjagusa kabisa yan broDah kusoma PCB tena kwa mwaka mmoja bro utajiuwa rabda uwe umesom icho kipindi unapiga mishe.
Yeah! Nlikomaa na CHEM na BIOS tu ila kwa PHYS ndo nlikuwa cjagusa kabisa yan broDah kusoma PCB tena kwa mwaka mmoja bro utajiuwa rabda uwe umesom icho kipindi unapiga mishe.
Physics kwa advance ndio somo linalotaka usomaji wa uhakika na waukweli ili uweze kufaulu tofaut na bio na chem ambazo kidogo hazina makubwa.Write your reply...
Yeah! Nlikomaa na CHEM na BIOS tu ila kwa PHYS ndo nlikuwa cjagusa kabisa yan bro
Cjuwi malengo yako kuwa nani baadae pengine apo ndio nitakwambia kombi ipi ndio yakusoma.Anhaa! Na vp kuhus CBG unawez ukanshaur bro?
Dah!! Kaka me nataman xana chuo kuxoma koz za afya kwa malengo ya kuwa daktar na whoever kutokana na masomo hayo na still nnayaweza kwan hata perfomance yng co mby kwasabab huwa nasoma ucku na mchana na kuhangaika huku na kule kutafuta msaada mbalimbali juu ya maxomo yangu ili kufikia malengo yangu.Cjuwi malengo yako kuwa nani baadae pengine apo ndio nitakwambia kombi ipi ndio yakusoma.
Na kuhusu CBG bro ntaenda kusomea nini chuo ambacho ni marketable!!?Cjuwi malengo yako kuwa nani baadae pengine apo ndio nitakwambia kombi ipi ndio yakusoma.
Kama afya basi PCB pekee ndio itakupeleka uko kwa mfumo wa sasa hivi so soma PCB upate ufaulu usiopungua C in Chem D in Bio and E in Phys hizo ndio minimum kwa afya ila apo apo kweny udactar au pharmac bac uwe na DCC resp.Dah!! Kaka me nataman xana chuo kuxoma koz za afya kwa malengo ya kuwa daktar na whoever kutokana na masomo hayo na still nnayaweza kwan hata perfomance yng co mby kwasabab huwa nasoma ucku na mchana na kuhangaika huku na kule kutafuta msaada mbalimbali juu ya maxomo yangu ili kufikia malengo yangu.
Kwa sasa hivi hawa wanakimbilia course za kilimo and etc kwa afya wana uwezo wa kusoma Enviromental health tu.Na kuhusu CBG bro ntaenda kusomea nini chuo ambacho ni marketable!!?
Usinichoke bro naomba ushauri wako according to ur expirience maana dah ndo nimekwama hvy ndg yng
Dah! Aisehe, nashkuru xana remedy50 kwa kunifungua ubongo na kunipa changamoto ila i wish kukomaa na PCB licha ya ugumu wake coz naamini kwamba "WHAT U BELIEVE HAS MORE POWER THAN WHAT U DREAM OR WISH OR HOPE FOR". (According to Deepak Chopra)Kwa sasa hivi hawa wanakimbilia course za kilimo and etc kwa afya wana uwezo wa kusoma Enviromental health tu.
PamojaDah! Aisehe, nashkuru xana remedy50 kwa kunifungua ubongo na kunipa changamoto ila i wish kukomaa na PCB licha ya ugumu wake coz naamini kwamba "WHAT U BELIEVE HAS MORE POWER THAN WHAT U DREAM OR WISH OR HOPE FOR". (According to Deepak Chopra)