Kwenu wadada

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,709
Reaction score
35,711
Kama mtu anakupenda na anakujali lazima atafanya jitihada ya kutengeneza muda wa kuwa karibu na wewe bila ya kujali ubize au umbali uliopo baina yenu.
.
Atakuwa karibu na wewe kwa kila namna, atajivunia kuwa na wewe na ataonesha wazi namna anavyofurahia uwepo wako kwake.
.
Hivyo, kuwa makini. Usihadaiwe na hizo Nakupenda sana au nimekumiss sana. Lazima kuwepo na jitihada za kumaanisha maneno hayo.
.
Kumbuka, muda ni mali adhimu, usikubali kuchezewa michezo ya kitoto ukapoteza muda wako. Okoa moyo wako na muda wako kwa watu wasio serious na mahusiano yasiyokujenga zaidi ya kuzidi kukumaliza kiuchumi na kifikra.
.
“No matter how bad your heart is broken, the world doesn’t stop for your grief."
 
kuna ile unapendwa mpaka unajihisi kukereka, naitamani sana h situation.
 
niggas these days sio kwamba hawataki kutake care ya wadada au tunajifanya sisi ni watu tusiopenda tatizo ni kwamba wadada now days moast of them act like they dont care na wanataka watukuzwe huku wao wakiona kwamba ni haki mwanaume aumie ili yeye aishi na kua act kama mpumabvu ukitaka kupendwa simple act like grown women and love na appreciate kile mwanaume anchofanya kwa bidii juu yako hata kama ni kidogo....
 
Pumbavu watashangaa sisi sio wa ivo

Wachukuliwe na wazee sie tumege kisela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…