Kwenu Polisi na vyombo vyote mlio katika idara hii

Kwenu Polisi na vyombo vyote mlio katika idara hii

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,521
Reaction score
13,381
Leo sisamii ndugu zangu, ni matumaini yangu mko wazima

Rejea mada tajwa hapo juu, kumekuepo na upumbavu hasa kwa madereva wa serikali bila kunzingatia taratibu, usalama wa barabarani, leo yupo mpubavu mmoja kanibutua na kukutana na ngao maana pikipiki ya cc 3000 linastahili mikimiki, ila hakukimbia alisimama nami nikasimama uyu dereva alikua na mjinga mmoja hivi amevaa sare za wale askari walindao wanyama poli.

Ameshuka ati anaanza nipiga mikwala, wapi nilikua naelekea ishara zote ,nilitoa , alafu D , 0 ati anaanaza nipiga mikwala, uzuri pikipiki ilikuwa on, wamecheza na ngao ya pipiki, so nilimuliza huyo Fala kwama indicator inaonesha wapi na why niparamia, na je speed katika makazi ya watu hata kama hakuna kibao inatakiwa zahidi ya 50 akosa jibu.

This time nyie wapumbavu mtajua hamjui
 
Leo sisamii ndugu zangu jt ,nimatumaini yangu mko wazima

Rejea mada tajwa hapo juu , kumekuepo na upumbavu hasa kwa madereva wa serikali bila kunzingatia taratibu , usalama wa barabarani ,leo yupo mpubavu mmoja kanibutua na kukutana na ngao maana pikipiki ya cc 3000 linastahili mikimiki , ila hakukimbia alisimama nami nikasimama uyu dereva alikua na mjinga mmoja hivi amevaa sare za wale askari walindao wanyama poli.

Ameshuka ati anaanza nipiga mikwala , wapi nilikua naelekea ishara zote ,nilitoa , alafu D , 0 ati anaanaza nipiga mikwala , uzuri pikipiki ilikuwa on ,wamecheza na ngao ya pipiki ,so nilimuliza uyo Fala kwama indicator inaonesha wapi na why niparamia , na je speed katika makazi ya watu hata kama hakuna kibao inatakiwa zahidi ya 50 akosa jibu.
This time nyie wapumbavu mtajua hamjui
Kwanaza mshukuru Mungu kwa nusura katika saga hiyo gentleman,

Lakini pia ni vizuri kua makini katika kutumia vyombo vya moto na kuzingatia sheria na usalama barabarani ipasavyo.
Tujiepushe na ujuaji sana, ubabe au ujeuri usio na maana hasa tunapotumia pikipiki za aina yoyote ile, maana siku zote mwili wa mtumia pikipiki ndio bodi la pikipiki yake.

Be carefull,
Pole gentleman,
 
Back
Top Bottom