Moderator pls mtoa hoja hana uwezo mkubwa wa kuandika sarufi kwa usahihi.
Neno ruvu lisomeke Ruvu. Kama ni graduate inaonesha namna gani atakavyokuwa siyo makini kwenye majukumu yake.
Inakera sana sana kuona mtu msomi au mwelewa akipuuzia usahihi wa sarufi kwenye mawasiliano