analala tofauti na wewe. Inategemea na dini na mila na desturi. Lakini kuna familia hasa za pwani pwani umeshaoa huyo hakuna shida mnapewa chumba. But hii ni kuonyesha heshima kwa wazazi kwani huku town huwa ikoje si mpo beneti. Tabia zako nzuri au mbovu zinaonekana hapo. Inakuwaga siku 1 tu unafika jioni analala kesho safari ukikaa naye sana mashangazi wakija utasikia mara hajui kuosha vyombo, mara hajui kupika, mara anakiburi nk.