Hivi kuna watu bado wanaangalia video za muziki. Kuna nini jipya? Nahisi nimeshaona kilakitu kwenye musik videos tangu miaka mingi sana. Hata mtoto wa darasa la nne anaweza ku edit video ya muziki sasa.

Sio kweli, nlikuwa namsikiliza Kendric lamar akijibu swali kama hilo linalohusu video za zaman na sasa alijibu vizur. Anasema technologia inakuwa refined sana kiasi video za sasa ni mchanganyiko wa script na high tech. Kw video za tz hakuna ulichoangalia ukamaliza kw sababu hata rangi ya video zetu bado sana..